kutokana na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. VOLUME I: (Jan 2016-Juni 2020) Ilichapishwa ⦠MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA TAARIFA YA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2O15-2020. Alisema Kamati Kuu ya CCM ilifanya kazi yake na kuwasilisha nyaraka hizo mbili na NEC ilipitisha ilani ya chama hicho kwa mwaka 2020-2025 pamoja na mwelekeo wa CCM kwa mwaka 2020-2030. douwnload nyimbo mpya za ccm za uchaguzi 2020, katibu mkuu dkt bashiru ally afunga semina ya siku mbili ya kamati za utekelezaji za jumuiya za ccm ,uvccm,uwt na wazazi leo jijini dodoma FAHADI Jumatatu, Novemba 30, 2020 Meza kuu ikiimba Nyimbo ya Chama mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally ⦠Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Taabu yote ya nini? Ndugu mito hukauka si ya uhakika,au kina chake hupungua,pia I'll kupunguza cost na uendeshaji bora chanzo kiwe kimoja nacho ni bahari kwa kigoma na mikoa ya kusini ziwa Tanganyika na nyasa ni sahihi kuwa chanzo cha maji majumbani. Kwa mujibu wa Ilani ya CCM iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, malengo makuu hayo yamejikita katika maeneo mbalimbali. Contact us. Share This . Alisema, kipaumbele cha sita ni kuchochea matumizi ya utafiti, sayansi na teknolojia na ubunifu kama nyenzo ya haraka kijamii na kiuchumi. Mbunge wa Mtama nchini Tanzania (CCM), Nape Nnauye amesema mabadiliko ya namna ya kuendesha siasa nchini yametokana na kazi iliyofanywa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CCM). For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding. Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa agizo hilo wakati akizungumza kwenye kikao cha dharula na Menejimenti na watendaji wakuu wa Bodi za mazao pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya ⦠ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2015 - 2020 Unknown. 980, 40480 â DODOMA, Desemba, ⦠The Chama Cha Mapinduzi (CCM; lit. Aidha, Ilani hii imezingatia fursa na changamoto Ilani Ya CCM 2020-25 PDF Download Here, Ilani Ya Uchaguzi CCM Pdf 2020-2025, Ilani Ya Uchaguzi CCM 2020-2025. BAADHI YA TOFAUTI YA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NA CHADEMA MWAKA 2020 1.Ilani ya CCM haizungumzii kupunguza Kodi wakati ilani ya CDM inalenga kupunguza Kodi ya ongezeko la thamani ili iendane na nchi jirani na kuondoa utitiri wa kodi (multiple taxation) 2. Ilani hii imeandikwa kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 na Mwelekeo wa ⦠UCHAMBUZI WA ILANI YA CCM 2020-25. ILANI YA CCM 2015-2020. Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa agizo hilo wakati akizungumza kwenye kikao cha dharula na Menejimenti na watendaji wakuu wa Bodi za mazao pamoja na Taasisi zilizo chini ya ⦠Facebook. Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani imeandaliwa ikiwa ni mkataba kati ya CCM na wananchi. Hata hivyo zipo ibara chache zinazopaswa kufanyiwa marekebisho. JavaScript is disabled. Mulugo ambaye amewahi kuwa naibu waziri wizara ya elimu ameeleza hayo leo Alhamisi Novemba 12, 2020 mjini Dodoma muda mfupi baada ya Majaliwa kuteuliwa kushika wadhifa huo kwa ⦠Tumetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015 - 2020, tumeijenga Tanzania mpya. Prof Sospeter Muhongo akikagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Musoma Vijijini inayojengwa Kijijini Murangi. For anything related to this site please Contact us. ippmedia.com © 1998-document.write(new Date().getFullYear()). Twitter. Kusoma Ilani ya CCM 2020. MAWAZIRI wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wameahidi kutekeleza kwa vitendo Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya 2020-2025, ahadi zilizotolewa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi wakati wa kampeni pamoja na maelekezo yaliomo katika hotuba aliyoitowa katika ufunguzi wa Baraza la Wawakilishi; Novemba 11, mwaka huu. Google+. UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM (2015-2020) NA UJENZI WA OFISI YA CCM WILAYA YA MUSOMA VIJIJINI. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka vipaumbele sita katika ilani yake kwa mwaka 2020-2025, kikiwamo cha kutengeneza ajira zisizopungua milioni nane katika sekta rasmi na zisizo rasmi, hususani kwa vijana. Katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, chama hicho kimeainisha vipaumbele sita vitakavyotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo. 1 comment: Unknown September 23, 2019 at 2:26 PM. By. 0 24 1 minute read. nakipongeza chama changu cha ccm chini ya ⦠Pinterest. Acha maji ya bahari kuwa maji ya matumizi, hata akibadili "KINYESI" kuwa "UDI/MARASHI". Twitter. JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. Kupitia muhutasari wa Ilani hiyo ambayo imeelezwa kwa kina wakati wa uzinduzi wa Kampeni za mgombea urais wa Chama hicho Dk. Alisema maeneo makubwa mawili ndiyo yaliyofanyiwa marekebisho kutokana na sababu za mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa, lakini mapendekezo yaliyotoka katika Kamati Kuu na NEC. Watumishi wa Wizara ya Kilimo wameagizwa kuisoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi iliyotolewa na Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM Agosti 2020 kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu. Bahari ifike Dodoma, intellect piracy & theft, hili wazo la raisi wangu #RUNGWE! Katika ukurasa huo imeelezwa kuwa maudhui ya ilani hiyo yamezingatia mwelekeo wa sera za CCM wa 2020-2030, Dira ⦠You are always welcome! Mambo Mengi ambayo yameainishwa na Ilani hiyo ni Marudio ya Ilani ya CCM ya Mwaka 2015/2020 Kama eneo la elimu bure na Mengine Mengi. Dk. CCM kwenye katiba yake toleo la mwaka 2017 ina ibara kadhaa ambazo alisema zinakidhi matakwa ya sheria ya vyama vya siasa. Kumbukumbu ya 'Post' zetu. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020-2050. Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani imeandaliwa ikiwa ni mkataba kati ya CCM na wananchi. Matukio ya Afrika Chama cha CCM chadhibiti Dar es Salaam baada ya uchaguzi. John Magufuli imesema kuwa itaendelea kulinda na ⦠Dk. âParty of the Revolutionâ) is the dominant ruling party in Tanzania and the second longest-ruling party in Africa, only after National Party of South Africa. Kingine ni kuleta mapinduzi ya kilimo, mifugo na uvuvi, ili kuwapo na uhakika wa chakula na kujitegemea kwa chakula wakati wote na kuchangia kikamilifu kwa maendeleo ya taifa. The following is the manifesto of the CCM party for the year 2020-2025 | Ifuatayo ni ilani ya chama cha mapinduzi ccm kwa mwaka 2020-2025 Ilani ya ccm 2020 hadi 2025 pdf | katiba ya ccm 2019 pdf download | katiba ya ccm 2020 | utekelezaji wa ilani ya ccm 2015 | ratiba ya uchaguzi ccm 2020 | ilani ya ccm 2010 pdf | kanuni za uchaguzi ccm 2020 | kanuni za uchaguzi ccm 2020 pdf We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA 2020-2025. The Party for Democracy and Progress or CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo), is a one of the powerful opposition ⦠Watanzania walichoka sana kusikia stori za Rushwa na Ufisadi kwenye Ofisi za umma na Watumishi wa umma. Wafanyakazi wa TBC Wauaga ⦠Mi5 tena!! ZITTO KABWE ALIYOITOA MAREKANI. Watumishi wa Wizara ya Kilimo wameagizwa kuisoma ilani ya Chama Cha Mapinduzi iliyotolewa na Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM Agosti 2020 kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu. Bashiru alisema: âKufuatia kuanza kutumika kwa sheria hii, Msajili wa Vyama vya Siasa amevitaka vyama vya siasa kuanza kurekebisha katiba za vyama vyao maeneo ambayo ibara za katiba zao zinakinzana na vifungu vya sheria za vyama vya siasa sura ya 258 ya mwaka 2019.â. MICHUZI BLOG at Monday, June 15, 2020 HABARI, TAARIFA, Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Singida Mjini, wakimpongeza Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (kulia) kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha ⦠Pendekezo Ilani ya Uchaguzi 2020-2025 kuwanufaisha wafugaji Dodoma Kaimu Afisa Mifugo Halmashauri ya Mji Kondoa Dennis Moshi akisoma taarifa ya uboreshaji wa miundombinu katika mnada wa Bicha mbele ya kamati ya Siasa Mkoa wa Dodoma walipofanya ziara katika mnada huo. Dk. Katika kikao hicho wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo kupitia Ilani ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2020 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Nikawa najaribu kuangalia Maeneo ambayo yana Upekee Katika Ilani ya Chadema nikakutana na ⦠Ilani Ya CCM 2020-25 PDF Download Here, Ilani Ya Uchaguzi CCM Pdf 2020-2025, Ilani Ya Uchaguzi CCM 2020-2025. Bashiru alitaja kipaumbele kingine kuwa ni kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya, elimu, maji, umeme na makazi bora mijini na vijijini. Bashiru Ally, alieleza hayo juzi wakati wa Mkutano Mkuu wa kupitisha jina la mgombea urais, uliofanyika jijini Dodoma na kuhudhuriwa na wajumbe 1,822 wa chama hicho. Makala haya yanaangazia vipaumbele hivyo na mambo muhimu yatakayozingatiwa katika kuvitekeleza. Tafuta Hapa/Search Here. Katika ilani ya 2020-2025 ya CCM suala la wanafunzi wajawazito kurejeshwa shuleni halizungumziwi popote na hata mikutano ya kampeni inaonena hilo si miongoni mwa ajenda zake za kuombea kura. It may not display this or other websites correctly. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020-2050. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM wakati akieleza muhtasari wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020 ya chama hicho, katika uzinduzi wa Kampeni za Urais wa Tanzania. Emmanuel Mbatilo - June 15, 2020. Fanya hivi... Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? ILANI YA CCM 2015-2020. Alisema lengo ni kuwawezesha viongozi hao waweze kushiriki katika kura za maoni kwa viongozi ngazi ya vitongoji, mitaa, vijiji na kata na wadi kwa upande wa Zanzibar. ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 imetaja mambo yatakayozingatiwa katika kutekeleza vipaumbele vikuu vya Ilani hiyo kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Watanzania. Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Jana nilitumia Masaa angalau Manne ya kupitia kwa kina Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya Mwaka 2020/2025. Katibu Mkuu huyo wa CCM amesema, katika kipindi cha miaka mitano ijayo, serikali ya chama hicho itakuwa na jukumu la kuhakikisha wanyonge wanapata fursa ya kustawisha maisha yao. You MUST read them and comply accordingly. MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA TAARIFA YA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2O15-2020. Ilani hii imeandikwa kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025 na Mwelekeo wa Sera za CCM ⦠Unakwama kuanzisha akaunti? Eleweni hatumtaki!!! Ameshindwa kusambaza maji yasiyo na chumvi kutoka ziwa Victoria, Tanganyika na Nyasa ataweza kufanya desalination ambayo ina gharama za ajabu?! By. Alivitaja vipaumbele vya ilani hiyo kuwa ni kulinda na kuimarisha misingi ya utu, usawa, haki na uongozi bora ili kudumisha amani, umoja na mshikamano wa taifa na muungano. Desalination wanatumia wasio na vyanzo vya kutosha vya maji baridi kama Saudi Arabia, Australia, Israel n.k, Tukiyamaliza meli zitapita wapi,tumia akili kijana. Hao wa Ulaya si ndio huyo magufuli wako huwa anawaita mabeberu. Uchaguzi wa mwaka 2005 CCM ilimsimamisha Jakaya Kikwete ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa na kuzoa 80% ya kura, Prof Lipumba alimfuatia kwa mbali akipata 10% ya kura. Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mh. Idadi ya 'Viewers' CCM Blog. John Pombe Joseph Magufuli alikotokea hadi urais, Chadema: Tuna imani na Samia kuwaletea wananchi Katiba Mpya, Maajabu ya tango katika kupambana na maradhi, Ujenzi reli ya kisasa Mwanza-Isaka kuanza, Tunahitaji sauti moja kukabiliana na nimonia. Katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba CCM Zanzibar inataraji kupata Sura mpya katika nafasi ya urais baada ya Rais wa sasa dokta Mohammed Shein kumaliza awamu zake mbili za uongozi. By Unknown - Tuesday, February 23, 2016. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimejinasibu kwa malengo sita ya uchaguzi wa mwaka huu, huku kikieleza mambo muhimu 33 kwa kila lengo kuu. JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users.. JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. Aidha, Ilani hii imezingatia fursa na changamoto zinazotokana na mabadiliko mbalimbali ya . Tanzania tuna maji fresh mengi sana, (fresh water body), mfano lake Victoria, lake Nyasa, lake natron, lake eyas, lake Rukwa, bila kusahau mito mingi mfano: Ruaha (Rufiji) , Pangani, Malagarasi, Songwe, Ruvuma, Ruvu, Wami, Mara, n.k. Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya 2015 â 2020, chama kinachotawala na kinachotaka kiendelee kutawala haiongelei chochote juu ya ilani iliyopita, jinsi ilivyopaswa kutekelezwa, wapi ilifanikiwa na wapi haikufanikiwa na haielezei ni kwanini haikufanikiwa na badala yake CCM wanakuja na ilani mpya ya moja kwa moja utadhani ndo wanataka kuingia madarakani kwa mara ya kwanza. MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UFISADI. Related Articles. Ilani ya CCM 2015-2020.pdf. Read our Privacy Policy. ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YA MWAKA 2015 -2020 KATIKA KIPINDI CHA NOVEMBA, 2015 HADI DESEMBA, 2017 MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. Kuingia kwa Serikali ya Awamu ya 5 kulitoa matumaini ya Taifa lao kuanza kupambana kwa dhati dhidi ya Vitendo vya Rushwa na Ufisadi. Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun Buriani Marin Hassan Marin. ZITTO ZUBERI KABWE â NAIBU KATIBU MKUU WA ⦠Facebook Twitter LinkedIn Tumblr Pinterest Reddit VKontakte Odnoklassniki Pocket WhatsApp Telegram. Hao wa Ulaya si ndio huyo magufuli wako huwa anawaita mabeberu. Zilizoongoza kusomwa. Ulaya hasa Uholanzi nasikia wanateknolojia ya kuondoa chumvi na maji ya bahari kuwa maji mazuri kwa matumizi ya majumbani. UFAFANUZI WA MAMBO MBALIMBALI YALIYOPOTOSHWA NA MHE. Alex Sonna - July 11, 2020. Bashiru alisema NEC pia imependekeza kufanyika kwa marekebisho madogo katika Katiba ya chama hicho ya mwaka 1977 toleo la Julai, 2017. Muhtasari wa Ilani ya uchaguzi Mkuu mwaka 2020 12 ⦠0. Ilani ya CCM 2015-2020.pdf. CCM Blog. Powered by Blogger. Mbunge wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo amesema, Kassim Majaliwa kuteuliwa tena kuwa waziri mkuu kutaongeza kasi ya chama hicho tawala kutekeleza ilani yake ya uchaguzi mwaka 2020-2025. Google+. Dk. Share to Twitter Share to Facebook Share to Pinterest. Facebook. The Chama Cha Mapinduzi (CCM; lit. Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni? Wanatumia kwa matumiz ta kufulia na kunwagia pamoja na kuogea tu hayaruhusiwi kupikia wala kunywa hata dubai oman hii ipo na sheria ji hizo hizo kuna gar zinagawa maji ya kunywa na kupikia za serikal wanalipia kwa bill. ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Hatumtaki. You are using an out of date browser. Pia, alisema Halmashauri Kuu ilipendekeza marekebisho katika maeneo makubwa mawili, mojawapo ni kuwajumuisha wenyeviti wa mashina (mabalozi), kushiriki katika mikutano mikuu ya kata na wadi ili kupiga kura kwa wagombea wa udiwani. âParty of the Revolutionâ) is the dominant ruling party in Tanzania and the second longest-ruling party in Africa, only after National Party of South Africa. credits: @ccmtanzania #ccm2025 #jpm2020 #Tumetekekelez #tanzaniampya #Mitano5tena #MagufuliNiMaendeleo Wakizungumza na vyombo mbali mbali vya habari, baada ya ⦠John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni 2020. Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi na mlezi wa Mkoa wa Dodoma Bi. CCM yataja mambo 6 muhimu Ilani 2020-2025 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka vipaumbele sita katika ilani yake kwa mwaka 2020-2025, kikiwamo cha kutengeneza ajira zisizopungua milioni nane katika sekta rasmi na zisizo rasmi, hususani kwa vijana. TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA ILANI: Jimbo la Musoma Vijijini. You must log in or register to reply here. Hivi hiyo lake Tanganyika unaijua vizuri?? Reactions Email This BlogThis! We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM KWA KAULI MOJA WAPITISHA ILANI YA UCHAGUZI MKUU 2020-2025. Pinterest. WhatsApp Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Singida Mjini, wakimpongeza Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (kulia) kwa utekelezaji wa ⦠DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI Imetayarishwa na : Ofisi ya Waziri Mkuu 2 Mtaa wa Reli, S.L.P. 0. Alitaja kipaumbele kingine ni kukuza uchumi wa kisasa jumuishi na shindani uliojengwa katika msingi wa viwanda huduma za kiuchumi na miundombinu wezeshi. All rights reserved, CCM yataja mambo 6 muhimu Ilani 2020-2025, ACT yatamba kushinda uchaguzi wa Zanzibar, Siku ya Mwisho Rais Magufuli kuonekana hadharani, Katiba inavyoelekeza Rais akifariki dunia, Dk. Bashiru alisema kwa mujibu wa Katiba ya CCM, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), ndiyo chombo kinachoandaa na kupitisha mwelekeo wa sera za chama pamoja na ilani. Tunaomba ridhaa tena kwa miaka 5 ili tufanye makubwa zaidi kwa Watanzania. Admin Follow on Twitter Send an email October 1, 2020 Last Updated: November 7, 2020. MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2O15 -2020 Malunde Monday, June 15, 2020 Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Singida Mjini, wakimpongeza Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (kulia) kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ⦠Tuesday, February 23, 2016. About Unknown. WhatsApp Katibu Mkuu mstaafu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya viongozi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion ⦠Dhumuni la marekebisho hayo alisema ni kuendana na mageuzi makubwa ya kasi ya kisiasa na utendaji ndani ya chama kuna mapendekezo mengine ambayo yanapaswa kuingia katika katiba. Ilani ya CCM haizungumzii kuongeza mishahara wala kufidia nyongeza ambazo watumishi walipunjwa miaka ⦠Sign In. UFAFANUZI WA HOTUBA YA UPOTOSHAJI YA MHE.