Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini. Kilimanjaro Boy's Sec. Aliyekuwa Mwenyikiti wa ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwhira mapema leo hii ametangaza kujiunga na CCM alipokuwa katika Mkutano wa 9 wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT. Mkipewa uongozi epukeni kubeba hivi vyeo mabegani” (Mwisho wa kunukuu). Makalla pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni na … Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:-1. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Mheshimiwa MTAKA alipiga marufuku muhemko usio na kichwa wala miguu wa ma-DC kuwasweka ndani watumishi wa umma ambapo alisema, ” Sisi viongozi tuwalinde watumishi wetu. Lakini, wakati mikoa mingine mingi bado haisomeki (ikisua sua kimikakati ya maendeleo), mkoa wa Simiyu chini ya uongozi imara wa mheshimiwa MTAKA umepiga hatua kubwa na kuwa mkoa wa kupigiwa mfano. Baadhi ya Magari yakiwa yameegeshwa katika maeneo tofauti tofauti yakiwa na shehena ya Mahindi. Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Mkoa wa Simiyu umeweza kupata wawekezaji wazawa wengi kutokana na juhudi za Mheshimiwa MTAKA. comments. “Kwa hiyo wageni waendelee kuja wakijua wanakuja mahali salama. Uko katikati ya nchi na umepakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 31000.. Umepakana na mikoa jirani ya Mwanza na Shinyanga upande wa kusini, Arusha upande wa kusini-mashariki, Kagera kwa njia ya Ziwa Nyanza (au Viktoria) na Kenya upande wa mashariki. 11. Kabla ya kuwa Mkuu wa mkoa Mheshimiwa MTAKA alihudumu PPF, pia alikuwa Mkuu wa Wilaya za Mvomero na Hai baada ya kuteuliwa na Mheshimiwa JAKAYA KIKWETE, Rais wa awamu ya nne wa nchi yetu. Huyu ndio Mrithi wa Paul Makonda Dar es salaam, anaitwa Aboubakar kunenge. Tags John Pombe Joseph Magufuli NiSisiSisi Sisi Ni Tanzania MpyA+ Tupo Vizuri Uchumi Wakuu wa Mikoa Wakuu wa Wiliya, Rais Dkt. This site uses Akismet to reduce spam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella (kulia) na kwanza kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Mheshimiwa MTAKA ni Kiongozi Mnyenyekevu, mwenye busara na staha na asiye na mihemko. Mheshimiwa MTAKA alisoma Shule ya Msingi Suguti, Musoma mkoani Mara ambapo alimaliza mwaka 1996. Baadae mheshimiwa MTAKA akaenda kusoma Chuo Kikuu Mzumbe alikopata shahada ya Utawala mwaka 2009. JOHN MTAKA CHIGANGA. Vijana tunapaswa kujifunza mema yake na kuyaishi kwa ajili ya kutujenga katika kutumikia watu. Vijana wengi hawana staha na ni wepesi kutaka magari , vyeo, ushindi bila kufanya kazi ya kufikiri vizuri na kutoelewa dhana ya maendeleo na uongozi. Nyaraka. Mheshimiwa MTAKA ameasisi kauli mbiu aliyojifunza toka Japan : ‘Kijiji Kimoja, Bidhaa Moja’, inayochagiza ujenzi wa viwanda. PICHA ZOTE: MPIGA PICHA WETU. 15. Mghwira amesema kuwa ameridhika na mwenendo mpya wa Chama hicho chini ya Mwenyekiti wake, Dkt John Pombe Magufuli. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, kampasi ya Moshi na Arusha zina jumla ya wanafunzi 600 kutoka mataifa 80 duniani huku kampasi ya Moshi pekee iliyoanzishwa miaka 51 iliyopita ikiwa na  wanafunzi 300. Moshi. Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Angalia Zote. Madai hayo chanzo chake ni taarifa za ndani kutoka katika shule hiyo zilizowekwa katika tovuti yake Januari 19,2021 akitaarifu juu ya kuwepo kwa mwanafunzi aliyethibitika kuwa na Covid-19. Wilaya ya Moshi iko salama, mkoa wa Kilimanjaro uko salama na Tanzania iko salama bila Covid19.”. 1. Machi 12, 2016, wakati Rais Magufuli alipofanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya alimhamishia Makalla Mkoa wa Mbeya kabla ya kumpeleka Katavi Julai, mwaka jana. Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Taarifa hiyo ilifuatiwa na taarifa ya mkurugenzi wa shule hiyo, Anna Marsden katika tovuti hiyo akisema kutokana na tatizo hilo la Covid 19, kampasi ya Moshi ya ISM itakuwa katika karantini hadi Februari mosi,2021. Kadhalika, Waziri Mkuu ametoa rai kwa wananchi katika kila mkoa wenye ardhi nzuri ambayo inastawi zao hilo waanzishe kilimo cha zao mkonge walime na Serikali itawasaidia bila kujali ni mtu mmoja mmoja, wakulima wa kati na wakubwa. Uhuru Kenyatta ni nani hasa? Sehemu kubwa ni nyanda za juu kati ya mita 830 hadi 2000 juu ya UB. Eneo la Mkoa wa Kilimanjaro = 13209 Square Kilometre; Takwimu. Kiongozi mkuu huyo wa nchi … Akiwa na uzoefu wa kuwa Makamu wa Rais kwa zaidi ya miaka mitano sasa, Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa... Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema mazishi ya Dk John Magufuli yatafanyika Machi 25, 2021 Wilaya ya Chato mkoani Geita. Sitaki kusikia hata wabunge, madiwani kuswekwa ndani hovyo”. John Pombe Magufuli amewataka viongozi walioapishwa kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni …. Makalla aliteuliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, Septemba 14, 2015. Watendaji wote yaani Mawaziri, ma-RC, ma-DC wawe kama Mheshimiwa MTAKA”. Wanafunzi wanaendelea na masomo na vikundi vya mjadala kama kawaida. Share. Required fields are marked *. Mheshimiwa MTAKA amekuwa na mafanikio katika kuunga mkono azma ya Rais ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati. Ni aina ya viongozi wa kisasa mwenye hofu ya Mungu na aliye na heshima kwa wakubwa na wadogo. Catherine Senkoro (wa tatu kulia). Binafsi nimpongeze Sana kiongozi huyu ndugu comrade Antony Mtaka kwa haiba nzuri aliyonayo ya kiuongozi. Mtaka Mungu ibariki Tanzania. “Wakuu wa wilaya waondoeni Maafisa Kilimo waliopo Ofisini waende vijijini wakawasaidie wakulima namna nzuri ya kulima zao hili kwa faida, mkonge ni pesa, … Mkuu wa wilaya ya Moshi, Rajabu Kundya na meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu kwa nyakati tofauti wamekanusha  uwepo wa mwanafunzi aliyeathirika na virusi hivyo vya Corona. Kwenye chakula wamekaa pamoja na hakuna tuliyemuona amevaa barakoa. JOHN MTAKA CHIGANGA. Hotuba ya Mhe. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma ilihesabiwa kuwa 2,083,588. Your email address will not be published. “Shule hii ni shule inayopokea wanafunzi kutoka nchi mbalimbali duniani na tatizo hili liko katika nchi nyingine nyingi zikiwemo hata jirani zetu hapa, wamekuwa makini pale ambapo mtoto anaoonekana anazo dalili.”. . Kauli hii mujarabu iliungwa mkono na wapenda demokrasia nchini pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Mheshimiwa Joseph Mbilinyi almaarufu kama SUGU, mbunge wa Mbeya mjini ambaye aliyesema. Majaliwa: Watu wakiwa wengi Magufuli ataagwa hadi usiku, Bongo Movie kuanza safari ya Chato Jumatatu, Shule aliyosoma Magufuli kujenga mnara wa sanamu lake, Magufuli na rekodi safari nje ya Tanzania, Shahidi asimulia yaliyojiri kikao cha washtakiwa baada ya mauaji (34). RC katika Ufunguzi wa RCC. Hawa ndio viongozi wanaopaswa kumsaidia Mheshimiwa Rais. 8. Mahali pa Mkoa wa Kilimanjaro katika nchi ya Tanzania: Majiranukta: Nchi: Tanzania: Wilaya: 7 Mji mkuu: Moshi: Serikali - Mkuu wa Mkoa Anna Elisha Mghwira: Eneo - Mkoa: 13,209 km²: Idadi ya wakazi (2012) - 1,640,087: Tovuti: http://www.kilimanjaro.go.tz/ Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 41000. 12. Historia yake hii hapa. Mwaka 2004 alijiunga na Chuo cha Ualimu Marangu lakini akaacha baada ya nusu mhula na kujiunga mafunzo ya Jeshi la polisi kabla ya kujiunga ambapo yeye ni F.6886 PC A. MTAKA. Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine mnapaswa kujifunza toka kwake kwa kuwa wanyenyekevu, wenye kufuata Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu huku wakitambua kuwa Cheo ni Dhamana na wchape kazi na kuwa wabunifu ili kumsaidie Mheshimiwa Rais katika kufikia azma yake ya kuifanya Tanzania kuwa Donor country! Aliyepo hapo chini anaitwa Hatibu Omar anatafutwa na jeshi la polisi wakishirikiana na TCRA kwa kumkashifu kwa picha Rais wa Tanzania Dr John Ppmbe Joseph Magufuli siku ya Ijumaa tarehe 17/06/2016. “Mwanafunzi wa darasa la M4 kampasi ya Moshi alithibitika kuwa na maambukizi ya Covid-19 Januari 18 (2021). humu utapata taarifa sahihi kuhusiana na Mkoa wetu wa Manyara kutoka kwenye wilaya zote tano za Mkoa!! Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mheshimiwa ANTHONY JOHN MTAKA CHIGANGA alizaliwa tarehe 5 Julai 1983 mkoani Mara. on. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Yeye ni mtoto wa kwanza kati ya wanne wa Bi. September 10, 2018 Karibuni katika ukurasa sahihi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara!! Mheshimiwa MTAKA amekuwa mstari wa mbele kuhimiza elimu ambapo ameahidi kutoa mamilioni kwa wanafunzi watakaofanya vizuri kitaifa. Matokeo ChanyA+ Kwa niaba nimpongeze sana Mhe, mkuu wa mkoa wa simiyu kwakweli umeutendea haki uteuzi wako na kurudisha matumaini kwa umma wa Watanzania na kwa Mhe. MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, picha mtandao. ENEO la njia Panda … Merciana Mageti na Bw. “Akionekana na dalili zinazoendana na tatizo hilo Covid-19, basi haraka zinachukuliwa hatua za tahadhari ili kuzuia kwa dalili hizo asiwaambukize wengine,” alisema mkuu huyo wa wilaya na kuongeza kuwa,” amesema. 6. Kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2003 aliwania urais na Mwai Kibaki … John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza. Mkoa wa Simiyu ulianzishwa mwaka 2012 na ulikuwa uko nyuma sana kimaendeleo. Mheshimiwa MTAKA ni kipenzi cha wananchi wa Simiyu kutokana na mabadiliko makubwa aliyoyaleta mkoani humo. Rehema Mligo: Cograturation for gretest work... Rehema Mligo: Cograturation for everything... privanus: Big up Maendeleo hayana chama... OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA, WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU, WIZARA YA HABARI,UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, SERIKALI INATENGENEZA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI – WAITARA, MKUTANO WA 40 WA SADC KUFANYIKA JIJINI DODOMA, JOSHUA NASSARI AONGOZA WAWEKEZAJI TOKA CHINA KUANGALIA FURSA TANZANIA, WAKAZI WA KIGWA KUPATA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWA GHARAMA YA BILIONI 10, WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE NCHINI AZERBAIJAN. Share. 5,482 Imeonekana, “Nimeuliza ripoti ya Wakuu wa Mikoa Tanzania wanaofanya vizuri, wakaniletea ANTHONY MTAKA ndiye Namba Moja, na Namba Mbili ni yeye. Taarifa kamili iko kwenye barua pepe ya mkurugenzi”. Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. Kwa mujibu wa maagizo ya Serikali, ni viongozi wanne tu wanaotoa taarifa za Corona ambao ni rais, waziri mkuu, waziri mwenye dhamana ya afya na msemaji mkuu wa Serikali. Millard Ayo. Ni mwerevu, mwenye kuamini umoja katika kuleta maendeleo na kuwa uongozi si bla bla na kupandisha mabega juu bali ni kwaajili ya kuwatumikia wananchi . Rais, kuwa vijana tunaweza. Aidha, amewaasa wanafunzi hao wasome hadi usiku wa manane ili wafaulu na kuja kuusaidia mkoa wao kupata maendeleo. Nae Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Iren Mutiganzi alimshukuru Mkuu wa Mkoa ambaye ameonyesha upendo wa pekee kwa Mashindano na kwa wageni wote waliokwenda kushiriki mashindano kwa kushiriki nao tamasha la usiku ambalo hukutanisha wadau na washiriki wote wa mbio za marathon lakini pia kuwahakikishia usalama wakati wote mpaka watakapoondoka mkoani hapo. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mheshimiwa ANTHONY JOHN MTAKA CHIGANGA alizaliwa tarehe 5 Julai 1983 mkoani Mara. Tayari Mheshimiwa MTAKA alizindua kiwanda cha maziwa na cha chaki alivyovizindua Novemba 2016 na vingine vipo njiani. Tazama video ifuatayo ambayo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akioongeza utendaji kazi na ufanisi wa uongozi wa mkoa wa Simiyu. Wengine ni Ofisa Upelelezi, Kitengo cha Intelijensia ya Jinai mkoa wa Kilimanjaro, Herman Ngurukisi (40), Inspekta Samueli Maimu (45) ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya ukaguzi ya Polisi (CRT) kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upepelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa wa Kilimanjaro na Ofisa Upelelezi, Sajenti Atway Omari ambaye alikuwa katika timu ya CRT. Mheshimiwa MTAKA ni mchapakazi hodari. Mheshimiwa MTAKA sio mpenda ‘kiki’ au sifa za kijinga. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akiongozana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issa wakiodoka katika eneo hilo baada ya kuangalia malori yanayoshikiliwa yakiwa na shehena ya Mahindi. 2. … Kundya alisema hiyo itaisaidia mitandao hiyo kutoa kutoa taarifa sahihi akieleza kuwa taarifa hizo za ISM zimeleta taharuki kubwa Moshi mjini lakini walipofuatilia wamekuta kilichoandikwa na hali halisi havifanani. MTAKA.. na ametokea wapi? Tarehe 07 Septemba 2017, Mheshimiwa MTAKA alipewa Tuzo na Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania kutokana na maendeleo makubwa aliyoyafanya mkoani humo katika kipindi kifupi tu cha uongozi wake ‘Chema Chajiuza, Kibaya Chajitembeza’. Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Kabla ya kuzungumza na wanahabari, mkuu huyo wa wilaya na maofisa wengine wa Serikali walikuwa na vikao vya faragha na uongozi wa shule hiyo, wakifuatilia taarifa hiyo ambayo iliibua mtafaruku nchini. Ndugu Mkuu wa Mkoa wa Manyara; Kwa niaba ya viongozi na wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro ninamshukuru Mungu aliyetuwezesha kukutana katika eneo hili la Kijiji cha Ormelili lililoandaliwa maalum kwa ajili ya makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu wa 2017 kati ya Mkoa wa Manyara na Kilimanjaro huku tukiwa wenye nguvu na afya njema. Learn how your comment data is processed. Said Thabit Mwambungu – Mkuu … 3. Miradi na Uwekezaji. 3 Maoni Merciana Mageti na Bw. Watch Queue Queue ANTONY MTAKA Ni nani? Hali hiyo imemfanya mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira kutaka kampuni na taasisi zinazohudumia watalii kuhakikisha wageni kutoka nje wanapimwa kabla ya kuanza safari kuja nchini. Mhe. Ujenzi wa Nyumba ya Makazi ya Mkuu wa Wilaya ya Same 2017-02-02 --- 2017-03-23. Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto 2017-01-01 --- 2017-05-02. Akiwa sasa na umri wa miaka 35, Mheshimiwa MTAKA ni mmoja wa Wakuu wa mikoa wadogo kabisa kuwahi kutokea nchini. Kuna wilaya saba zifuatazo: Wilaya ya … 2. Matokeo ChanyA+, Tanzania MpyA+ “Wakati inabaki kuwa tuna mwanafunzi mmoja tu mwenye Covid-19, sasa tuna mwanafunzi wa pili ambaye anaonyesha dalili ambazo zinaweza kuhusishwa na virusi vya corona,” amesema Anna katika taarifa hiyo. Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:-. Mh.Mtaka awape darasa ,pia wateule wafanye mtihani kabla ya kupewa nafasi za uongozi ili kupunguza utumbuaji wa Mh.Rais. Ni wachache Sana Katika karne hii watu hurka yake. MAKALLA NI NANI? 16. Shule inayomilikiwa na Jimbo Katoliki Moshi mkoa wa Kilimanjaro, na kuendeshwa na Mabrother wa Mafundisho ya Kikristo (The Brothers of Chistian Instruction) Shule kongwe na yenye historia ya kuwapika watu maarufu na mashuhuri nchi hii, Kwa miaka zaidi ya 50 inawakaribisha nyote mnaotafuta nafasi za masomo kwa ajili ya watoto wenu. Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania Phares Magesa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya mazungumzo yenye tija kuhusu ujenzi wa kiwanja cha umma cha mpira wa kikapu Moshi. “Kwanza shule haikufungwa. Amesema kutokana na hali hiyo na baada ya taarifa kusambaa katika mitandao wa kijamii, alimtuma msaidizi  wake pamoja na ofisa elimu wa mkoa ili waende katika shule hiyo kufahamu nini kilitokea. Tuchangie chochote kupitia www.gofundme.com/f/kuza-sns au M-Pesa : +255 754 514 010 Mheshimiwa MTAKA alisoma Shule ya Msingi Suguti, … Eneo lote la mkoa lina km² 41,310. 7. Mkurugenzi huyo alifafanua kuwa wanafunzi wa kutwa watasoma kwa njia ya mtandao kutokea nyumbani na wale wa bweni watabaki katika mabweni yao na kwamba walimu wote watafanyia kazi wakitokea nyumbani. RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO, RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA, NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA – RAIS MAGUFULI, http://s9.myradiostream.com:6596/listen.mp3, SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO, MAFUNDI SIMU ACHENI KUFUTA IMEI NAMBA – WAZIRI NDUGULILE, KAMATI YA BUNGE VIWANDA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU, WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA, MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA(PTF) UNAFANYA VIZURI – NAIBU WAZIRI MWANJELWA, UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MWENDOKASI AWAMU YA PILI KUANZA WIKI HII, BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA, MKUU WA JKT AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA MAFINGA JKT. Januari 19 mwanafunzi mwingine alionyesha dalili za Covid-19 ingawa alikuwa hajapimwa.”, “Kwa sababu hiyo, kampasi ya Moshi imesitisha kwa muda ufundishaji wa ana kwa ana na kuhamishia mafunzo yote kwa njia ya mtandao mpaka Februari 1,2021. Yeye ni mtoto wa kwanza kati ya wanne wa Bi. Kwa hiyo, hiyo peke yake ni ishara kwamba taarifa ile ilipotoshwa,” amesisitiza mkuu huyo wa wilaya na kusema shule hiyo iko makini kwa vile inapokea wanafunzi kutoka nchi mbalimbali duniani. Watch Queue Queue. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq akizungumza mara baada ya kuzindua jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika lililojengwa pin Rweyunga Blog 9. Nyumba ya Makazi Same 2017-02-06 --- 2017-05-17. MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amezungumzia tukio la kushambuliwa kwa mawe wilayani Hai mkoani Kilimanajro kwa msafara wa mmoja wa wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akisema hakukuwa na sababu na uhalali wowote wa kufanyika kwa kitendo hicho. Tweet. School. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kulia), akipokea maelezo ya Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo (TARI) cha Mlingano kilichopo Muheza, mkoaTanga, Dk. 13. 5. PONGEZI KWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU; ENDELEA KUCHAPA KAZI! MTAKA.. na ametokea wapi? Unapenda kazi yetu? Mghwira ametoa kauli hiyo leo Jumapili Machi 22, 2020 saa chache baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kusema kuwa wagonjwa wamefikia 12 kutoka sita wa awali. Rais mstaafu Daniel Moi alimuunga mkono sana na ilitokana na msukumo wake ndipo Uhuru aliingia katika siasa. ”Nimeiona CCM inayobadilika, nimeona juhudi za kila … Mheshimiwa MTAKA aliteuliwa na Rais DR. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu tarehe 13 Machi 2016. Ningependa sana mitandao ya kijamii izingatie utaratibu wa nani ni msemaji wa tatizo gani ili wapate taarifa kutoka chanzo sahihi,” amesema. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amebainisha hayo kwa rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa ambaye alifanya ziara kwenye mkoa huo. 4. 10. Pia waweza kututembelea kwenye tovuti yetu www.manyara.go.tz na Blog ambayo ni https://rasmanyara.blogspot.com. Sherehe za Nane nane kitaifa ambazo mwaka huu zilifanyika Simiyu zilithibitisha hili. Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro. Inatia moyo kupata kiongozi angalau mmoja (kijana) ambaye ataambukiza wenzake katika uungwana, ujuzi, kufikiri na kuongoza. Leo katika maelezo yake,Mghwira ameieleza Mwananchi Digital akiwa mkoani Tanga kwamba kiini cha mtafaruku ni watoto wawili wa familia moja ambao shule iliwahisi kuwa na Covid-19. Mghwira amesema mkoa utaendelea kushirikiana na Chama cha Mpira wa kikapu Kilimanjaro ili kufanikisha shughuli za kikapu na kuhakikisha mkoa wa Kilimanjaro unakuwa na uwanja wake ambao utakuwa wa … 17. Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa Kilimanjaro RTO Zauda Mohamed pamoja na Kikosi chake watoa Elimu , "WAALIMU WAPATIWA ELIMU YA USALAMA BARABARANI MKOA WAAHIDI MAKUBWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WAO BAADA YA KUTOKA KWENYE MAFUNZO HAYO" WALIMU WA WILAYA YA MOSHI ,ROMBO NA SAME WAFAIDIKA NA MPANGO HUO UNAENDELEA WA USALAMA BARABARANI MKOA KILIMANJARO.. Share. Wakati uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukikanusha habari hizo, mkurugenzi wa shule hiyo, Anna Marsden mbele ya wanahabari leo Alhamisi Januari 21, 2021 ameomba radhi kutokana na kusambaa kwa taarifa kuwa shule imefungwa na kusimamisha masomo, akisema ukweli ni kwamba masomo yanaendelea kama kawaida. Hongera sana RC simiyu #ipende na kuitumikia inchi yako #Tanzania Mungu mbariki Mhe. Walikuwepo viongozi kabla yetu na watakuja wengine baada yetu. Mheshimiwa MTAKA ana vipaji lukuki: ni mwanariadha na Mwenyekiti wa chama cha riadha nchini, ni askari, ni mwimbaji hodari wa nyimbo za injili na ametunga nyimbo zake na karibuni atazirekedi, ni mwandishi mzuri wa makala, ni msomaji mzuri wa vitabu vya Kiswahili na Kiingereza na pia ni mpenzi kindakindaki na mwanachama wa YANGA, ambayo kihistoria, ni moja ya timu bora kuliko zote zilizowahi kutokea nchini. Your email address will not be published. July 15, 2020. Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara. Mheshimiwa MTAKA alisoma Shule ya Sekondari ya Mwembeni, Musoma mkoani mara toka mwaka 1997 hadi 2000 na akasoma kidato cha tano na sita mwaka 2001 hadi 2003 huko Kilimanjaro. 14. The president of Tanzania basketball federation Phares Magesa with the governor of Kilimanjaro province after a productive discussion regarding the construction of a public basketball stadium in … Kwa kifupi hana mfano”, Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. Mwongozo wa Uwekezaji 2018 2018-08-15 --- 2020-06-30. Hizi ni ripoti kutoka Chamwino Dodoma Tanzania kwenye makazi mapya ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ambapo baada ya Paul Makonda kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni na kuchukua … Akifafanua zaidi amesema, “ndio sababu hata mtindo wa ufundishaji ukabadilika lengo likiwa ni kuhakikisha kwamba kama anapatikana mtu mwenye tatizo hilo au jingine linaloweza kuambukiza anadhibitiwa ili tatizo hilo lisienee kwa wengine.”, “Ninachopenda kuwahakikishia watanzania ni kwamba shule haikufungwa iko salama. Aliwahi kuandika katika ukurasa wake wa Facebook kuwa, (namnukuu) “Niwakumbushe tu wenzangu kuwa cheo ni dhamana. Kenyatta ni mtoto wa Rais wa kwanza wa taifa hilo ambaye aliingia katika siasa za Kenya alipoteuliwa kama mwenyekiti wa tawi la chama cha KANU kilichokuwa kinatawala mwaka 1997. Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. “Nampongeza sana Mheshimiwa MTAKA. By. Nilipoteuliwa kuwa RC niliwajulisha ma-DC wangu kuwa moja ya mambo nisiyotaka kusikia ni watumishi kuswekwa ndani. Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya. This video is unavailable. Bibi Anna Mghwira anachukua nafasi iliyoachwa wazi na …